Jana Jumamosi Aprili 10 vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga walivutwa shati na timu ya Kino Boys KMC kwa kutoa sare ya bao 1-1 mchezo uliopigwa dimba la Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Yanga bado ni vinara wakiwa na alama 51 baada ya sare hiyo. Baada ya sare kocha wa timu Juma Mwambusi
