Browsing Category

TPL

JKT Tanzania wapigishwa kwata na Simba

Simba Sc imefanikiwa kwenda raundi ya nne ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya JKT Tanzania inayoshiriki Ligi daraja la kwanza. Ushindi wa Simba…

Lwandamina atimuliwa Azam FC

Azam FC imefikia maamuzi ya kumfuta kazi ya ukocha klabuni hapo aliyekuwa George Lwandamina na msaidizi wake Bahati Vivier. Maamuzi ya kumfuta kazi kocha huyo yamefikiwa baada ya matokeo ya sare tasa ya mchezo wa Azam waliokuwa wenyeji…

MO Dewji atoa neno alichofanyiwa Barbara

Mwekezaji wa klabu ya Simba Mohammed Dewji maarufu kama MO amesema ni aibu kuona kile kilichotokea Jana Jumamosi Disemba 11,2021 kwenye mechi ya Watani wa Jadi baina ya Simba wenyeji na Yanga ambapo Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo alizuiliwa…

Simba, Yanga Hakuna Mbabe Dar

Baada ya tambo za hapa na pale na presha ya Dabi ya Kariakoo baina ya Simba wenyeji na Yanga hatimaye mchezo huo umepigwa Leo Jumamosi Disemba 11 na kukosa mbabe kufuatia kugawana alama katika sare tasa. Katika mechi ambayo ilikuwa vuta…