Browsing Category

TPL

Simba kamili gado kuwavaa Yanga

Katika kuhakikisha klabu ya Simba inatetea taji la Ligi Kuu Tanzania Bara uongozi wa timu hiyo umesema ni muhimu kushinda mechi zake zote hasa mtanange wake dhidi ya Yanga utakaopigwa dimba la Mkapa Jijini Dsm Mei 8. Simba ambao…

Kocha wa Yanga asema hana hofu na Simba

Kocha Mkuu wa Yanga Nassredine Al Nabi amesema kuwa timu ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes ni timu nzuri ila hana hofu kuelekea mchezo wa kesho Jumamosi Uwanja wa Mkapa. Nabi kesho atakutana na Gomes wa Simba katika mchezo…