Kante aipatia Ufaransa ushindi mbele ya Ureno

Mtanange wa Ligi ya Mataifa Ulaya baina ya Ufaransa na Ureno umemalizika kwa Ufaransa kupata matokeo chanya huku kiungo mkabaji wa Chelsea N’Golo Kante akiwa mfungaji wa goli la ushindi wa 1 – 0. Ureno ambao ni mabingwa watetezi wa Ligi ya Mataifa wakiwa na staa Cristiano Ronaldo walishindwa kufurukuta mbele ya timu bingwa Kombe

Continue Reading →

Uefa yawarejesha mashabiki viwanjani

Shirikisho la Soka barani Ulaya Uefa limetangaza kuwa mashabiki wanaweza kurudi viwanjani katika mechi za Uefa kulingana na ruhusa maalumu ya serikali za eneo husika. Hayo yamesemwa katika hafla ya utoaji tuzo za wachezaji, makocha bora zilizofanyika Jana Alhamis Octoba 1. Itakumbukwa mashabiki waliacha kuhudhuria katika viwanja vya michezo mwezi Machi mpaka sasa hawajaruhusiwa lakini

Continue Reading →

Uefa kuendelea kutumia wachezaji watano kutoka benchi

Shirikisho la Soka Ulaya – UEFA limesema timu zitaendelea kuruhusiwa kutumia wachezaji watano wa akiba katika msimu wa mashindano unaotegemea kuanza mwezi ujao wa 2020/2021. Sheria ya wachezaji watano ilipendekezwa kwenye msimu uliomalizika kufuati ukaribu wa ratiba kutoka mchezo mmoja kwenda mwingine uliotokana na Corona hivyo Fifa walipendekeza ili kuwapa nafasi wachezaji kupumzika. Mwezi wa

Continue Reading →