- Home
- Champions League Fixtures
Champions League Fixtures | Amani Sports News
Habari za hivi karibuni
Arsenal imeshinda mechi yake ya Ligi Kuu nchini England dhidi ya Leicester City kwa goli 3-1 mtanange uliopigwa dimba la King Power Leo Jumapili. Kikosi cha kocha Mikel Arteta ambacho kinakamata nafasi ya 10 kwenye … Soma Zaidi
Vinara wa Ligi Kuu nchini Italia Serie A Inter Milan wameondoka na alama tatu dhidi ya Genoa huku magoli yote matatu yakifungwa na wachezaji wa zamani wa Manchester United. Romelu Lukaku alifunga goli la kwanza … Soma Zaidi
Gareth Bale ametuma salamu kwa kocha wake Jose Mourinho baada ya kufunga goli mbili katika ushindi wa bao 4-0 dhidi ya Burnley mtanange wa Ligi Kuu nchini England na kutengeneza mazingira ya kufuzu hatua ya … Soma Zaidi
Manchester United imeendelea kupoteza matumaini ya kubeba Kombe la Ligi Kuu nchini England baada ya kuangusha alama mbili Leo mbele ya Chelsea katika mchezo uliopigwa dimba la Stamford Bridge na kumalizika kwa sare tasa Kikosi … Soma Zaidi
Maafisa wa riadha wa Kenya wamesema nchi hiyo itapeleka timu ya mbio ndefu iliyotangazwa mwaka jana kwa ajili ya mashindano yalioahirishwa ya michezo ya kimataifa ya Olimpiki mjini Tokyo. Timu hiyo inayoongozwa na bingwa mtetezi … Soma Zaidi
Kiungo wa Yanga, Carlos Carlinhos amewaomba msamaha mashabiki na viongozi wa Yanga kwa kitendo chake cha kumpiga ngumi mchezaji wa Ken Gold katika mchezo wa hatua ya 32 ya Kombe la Shirikisho uliopigwa dimba la … Soma Zaidi