Depay kurejea dimbani Old Trafford?

Afisa mkuu mtendaji wa klabu ya Ufaransa ya Lyon Juninho amethibitisha kuwa  Manchester United huenda wakamnunua mshambulizi Memphis Depay mwezi Januari, misimu miwili tangu ajiunge nao akitokea Uinted. Mzaliwa huyo wa Uholanzi, amekua na msimu zuri baada ya kufunga magoli 11 katika mechi 14. Depayy aliondoka United mwaka wa 2017 Janauri baada ya kukosa kutamba dimbani Old Trafford.

Author: Bruce Amani

Share With Your Friends