Droo ya mzunguko wa tatu wa Kombe la Azam yafanyika

Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) Tanzania bara limefikia mzunguko wa tatu, ambapo ni hatua ya juu kabisa kutokana na vilabu vya ligi kuu bara kuanza kushiriki tofauti na hatua nyingine zilizopita.

Bingwa wa mashindano hayo hupata nafasi ya kuiwakilisha nchi katika michezo ya kombe la Shirikisho Afrika lililo chini ya CAF. Tanzania bara bingwa wa sasa ni Mtibwa Sugar baada ya kuifunga klabu ya Singida United.

Katika droo iliyofanyika leo imebainisha timu 32 ambazo zinacheza mchezo mmoja tu endapo timu ikifungwa huondoshwa na iliyoshinda husonga mbele kwenye hatua inayofuata. Kwa ujumla wake ratiba ya mzunguko wa tatu inaonyesha hivi;

Author: Bruce Amani