- Home
- EPL Fixtures
EPL Fixtures | Amani Sports News
Habari za hivi karibuni
Chelsea wako huru kusaini wachezaji wapya katika dirisha la usajili Januari mwakani baada ya marufuku waliyowekewa na FIFA kupunguzwa leo na Mahakama ya Usuluhishi Michezoni – CAS kupitia kesi ya rufaa Marufuku hiyo, iliyowekwa kufuatia … Read More
Rais wa FIFA Gianni Infantino amependekezwa kuwa mwanachama wa Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki – IOC, lakini kiongozi wa Mchezo wa Riadha Duniani Sebastian Coe atahitajika kusubiri kutokana na mgongano wa maslahi. Hayo ni kwa … Read More
Rwanda leo imesaini mkataba na timu ya Ufaransa ya Paris St. Germain, PSG kwa lengo la kuutangaza utalii wa taifa hilo la Afrika Mashariki. Mkataba wa aina hiyo ni wa pili kusainiwa na Rwanda kwa … Read More
Mahakama ya Migogoro katika Michezo imefuta uchaguzi wa rais na Kamati Kuu ya Kitaifa ya Shirikisho la Kandanda Kenya – FKF uliopangwa Jumamosi na kufuta matokeo ya uchaguzi wa matawi ya shirikisho hilo ulioandaliwa mwezi … Read More
Kocha wa zamani wa Arsenal Arsene Wenger anataka Ligi ya Premier isitishe upinzani wake kwa matumizi ya televisheni za VAR zinazowekwa pembeni ya uwanja. Mkuu wa Marefarii wa Premier League Mike Riley ametahadharisha dhidi ya … Read More
Mshambuliaji wa Barcelona Lionel Messi ameshinda tuzo ya Ballon d’Or za mchezaji bora duniani kwa mara ya sita. Ni Ballon dOr ya kwanza kwa Muargentina huyo mwenye umri wa miaka 32 tangu mwaka wa 2015 … Read More
Washindi wa Kombe la Dunia Ufaransa, mabingwa wa sasa wa Ulaya Ureno na Ujerumani wamepangwa katika Kundi moja gumu la F katika michuano ya Euro 2020. Ujerumani ya Joachim Loew iliorodheshwa ya kwanza kagika droo … Read More
Mfululizo wake wa matokeo mazuri umefikia kikomo. Baada ya kushinda mechi nne mfululizo katika mashindano yote, Kocha Hansi Flick amepoteza mechi yake ya kwanza katika Bundesliga akiwa na Bayern Munich. Maangamizi ya Leverkusen yalifanywa na … Read More