EPL Results
September 30, 2023 | ||
Tottenham Hotspur | 2 - 1 | Liverpool |
Wolverhampton Wanderers | 2 - 1 | Manchester City |
West Ham United | 2 - 0 | Sheffield United |
Newcastle United | 2 - 0 | Burnley |
Manchester United | 0 - 1 | Crystal Palace |
Everton | 1 - 2 | Luton Town |
AFC Bournemouth | 0 - 4 | Arsenal |
Aston Villa | 6 - 1 | Brighton & Hov… |
September 24, 2023 | ||
Sheffield United | 0 - 8 | Newcastle United |
Liverpool | 3 - 1 | West Ham United |
Chelsea | 0 - 1 | Aston Villa |
Brighton & Hov… | 3 - 1 | AFC Bournemouth |
Arsenal | 2 - 2 | Tottenham Hotspur |
September 23, 2023 | ||
Burnley | 0 - 1 | Manchester United |
Brentford | 1 - 3 | Everton |
Crystal Palace | 0 - 0 | Fulham |
Manchester City | 2 - 0 | Nottingham Forest |
Luton Town | 1 - 1 | Wolverhampton Wanderers |
September 18, 2023 | ||
Nottingham Forest | 1 - 1 | Burnley |
Mashabiki wa Tottenham Hotspur waliokuwa wanamtaka Mwenyekiti wa klabu hiyo Dany Levy kuondoka klabuni hapo wameondoka angalau kwa furaha kufuatia Spurs kutoka na alama moja dhidi ya Manchester United wakitoka nyuma magoli mawili na kulazimisha … Soma Zaidi
Newcastle United imeibuka na ushindi mzito wa bao 4-1 dhidi ya Everton na kuendeleza presha kwa kocha Sean Dyche kwani sasa wako kwenye mstari wa kushuka daraja endapo wataendelea kutofanya vizuri. Ushindi wa Newcastle umepatikana … Soma Zaidi
Mataifa matatu jirani yanayounda Jumuiya ya Afrika Mashariki yameanza mchakato wa kuomba kuandaa kwa pamoja mashindano ya Kombe la Mataifa Bingwa Afrika AFCON 2027. Taarifa ya kuanza mchakato huo zimesemwa na Waziri wa Michezo wa … Soma Zaidi
Kikosi cha Simba baada ya kutua salama Casablanca kimefanya mazoezi ya kwanza kujiwinda na mchezo wa mkondo wa pili wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya robo fainali dhidi ya Wydad Casablanca mchezo utakaochezwa uwanja … Soma Zaidi
Manchester United imesema haitashindania saini ya mshambuliaji wa kimataifa wa England na Tottenham Hotspur Harry Kane, 29, kutokana na kiwango kikubwa cha fedha ambacho Spurs wanakihitaji. Mauricio Pochettino hana wakala kwa wakati huu ambapo anakaribia … Soma Zaidi
Kocha wa Manchester City Pep Guardiola amesema ubingwa wa Ligi Kuu England uko mikononi mwao na wakishindwa watakuwa wameshindwa wote. Guardiola ameyasema hayo baada ya kikosi chake cha Man City kuibuka na ushindi murua wa … Soma Zaidi