Makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya yameshapangwa na klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji anayocheza Mtanzania Mbwana Samatta itaminyana na bingwa mtetezi Liverpool kutoka England.
Siku 89 zilizopita, Liverpool ilinyanyua ndoo hiyo na hii leo safari ya kulitetea kombe lao imeanza kupata uhai.
Samatta ambaye ni mshambuliaji bora nchini Ubelgiji atakuwa na kibarua kigumu cha kumpita beki bora wa Ulaya Vigil van Dijk.
Makundi kamili ni kama yalivyo hapo chini:
Kundi A
- Paris Saint-Germain
- Real Madrid
- Club Brugge
- Galatasaray
Kundi B
- Bayern Munich
- Tottenham
- Olympiakos
- Red Star
Kundi C
- Man City
- Shakhtar
- GNK Dinamo
- Atalanta
Kundi D
- Juventus
- Atletico Madrid
- Bayer Leverkusen
- Lokomotiv Moskva
Kundi E
- Liverpool
- Napoli
- Salzburg
- KRC Genk

Kundi F
- Barcelona
- Borrusia Dortmund
- Inter Milan
- Slavia Praha
Kundi G
- Zenit
- Benfica
- Lyon
- RB Liepzig
Kundi H
- Chelsea
- Ajax
- Valencia
- Lille
