Injera kurejea kikosini kabla ya michuano ya Dubai Sevens

57

Mchezaji nyota wa Raga nchini Collins Injera anatarajiwa kurejea katika kikosi cha taifa, kabla ya michuano ya Dubai Sevens mwezi ujao. Injerea anauguza jeraha la bega alilopata wakati wa michuano ya Safari Sevens mwezi uliopita, na atakosa michezo ya kufuzu kwa Olimpiki barani Afrika wikendi ijayo.

Injera mwenye uzoeufu mkubwa atakua anarejea katika kikosi cha Shujaa, baada ya kukosa msimu uliopita kutokana na mvutano na Shirikisho la Raga kutokana na marupurupu

Author: Bruce Amani