Kasaya ajiunga na Posta Rangers kutoka Sofapaka

Wycliffe Kasaya amejiunga na Posta Rangers akitokea Sofapaka FC. Kasaya ni kipa mzoefu ambaye ametumikia klabu za Red Berets, Sony sugar, Gor Mahia, Afc Leopards na timu ya taifa ya Harambee stars.

Uzoefu wake ni chachu tosha kuipa nguvu Rangers katika kinyang’anyiro cha kuwania ubingwa wa ligi kuu msimu wa 2018/19.

Author: Bruce Amani

Share With Your Friends