Kocha Kamara abwaga manyanga Ivory Coast

Ibrahim Kamara amejiuzulu kuwa kocha wa timu ya taifa ya soka ya Ivory Coast,

Shirikisho la soka nchini humo limethibitisha hatua hii na kusema kuwa, imetokea kwa makubaliano kati ya pande zote mbili.

Kocha Kamara amekuwa mkufunzi tangu mwaka 2018, na mwama 2019 aliiongoza the Elephants katika fainali ya michuano ya mataifa bingwa barani Afrtika huko nchini Misri na kufika katika hatua ya robo fainali.

Tangu mwaka 2013, Kamara amekuwa akifunza timu ya taifa ya ya vijana chini ya miaka 17, 20 na 23.

Author: Bruce Amani

Share With Your Friends