KPL Fixtures
Tanzania Prisons imetoshana nguvu na Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara mchezo uliopigwa dimba la Kumbukumbu ya Sokoine Jijini Mbeya Leo Alhamis. Prisons ambao bado hawajakaa eneo nzuri kwenye msimamo … Soma Zaidi
Kikosi cha Azam FC kimeanza safari kuelekea Arusha kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo wa Kombe la Shirikisho Tanzania maarufu kama Azam Sports Federation Cup ambapo watacheza na Coastal Union Mei 29, dimba … Soma Zaidi
Yanga imewasimamisha wachezaji wake wawili kwa muda usiojulikana kutokana na kutoroka kambini (utovu wa nidhamu) wakati timu hiyo ikijiandaa na mechi ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la TFF. Yanga ambayo ni mabingwa mara … Soma Zaidi
Jose Mourinho ameendelea kusimika mnara wake katika viwango vya juu kufuatia kukiongoza kikosi cha AS Roma kushinda ubingwa wa kwanza baada ya miaka 14 kwa kuifunga bao 1-0 Feyenoord mchezo wa fainali ya Europa Conference … Soma Zaidi
Mshambuliaji wa kimataifa wa Sweden na AC Milan Zlatan Ibrahimovic atakuwa nje ya uwanja kwa takribani miezi nane akifanyiwa upasuaji wa goti. Ibrahimovic mwenye umri wa miaka 40, ameisaidia Milan kushinda taji la Serie A … Soma Zaidi
Winga wa kimataifa wa Misri Mohamed Salah amesema ataendelea kucheza katika kikosi cha Liverpool kwa msimu ujao licha ya kuwepo kwa taarifa kuwa huenda akatimukia kwingineko kufuatia mkataba wake kutokuwa na uhakika. Mkataba wa Salah … Soma Zaidi