KPL Latest Results

February 22, 2020
Leopards 2 - 1 Sofapaka
Posta Rangers 1 - 3 KCB
Western Stima 0 - 0 Kariobangi Sharks
Bandari 3 - 1 Mathare United
February 12, 2020
Western Stima 1 - 1 Gor Mahia
Bandari 2 - 1 KCB
February 9, 2020
Leopards 0 - 1 Tusker
February 8, 2020
Sofapaka 3 - 1 Gor Mahia
Chemelil 2 - 1 Posta Rangers
Mathare United 3 - 1 Zoo Kericho
Bandari 1 - 1 Homeboyz
Nzoia Sugar 1 - 1 Ulinzi Stars
Wazito 2 - 1 Western Stima
February 7, 2020
KCB 0 - 1 Kariobangi Sharks
February 2, 2020
Kariobangi Sharks 8 - 1 Kisumu All Stars
Homeboyz 1 - 1 Wazito
Ulinzi Stars 0 - 1 Leopards
Gor Mahia 3 - 0 Nzoia Sugar
Sofapaka 1 - 1 Mathare United

Habari za hivi karibuni

  • Chelsea imeibuka na ushindi mnono dhidi ya Tottenham katika mtanange wa EPL ushindi wa goli 2-1 katika mchezo uliopigwa dimba la Stamford Bridge. Chelsea ambayo walipoteza dhidi ya United mwanzoni mwa wiki walionekana kuimarika zaidi … Read More

  • Mashindano ya kila mwaka ya kuendesha baiskeli ya Tour de Rwanda, yanaanza Jumapili 23.02.2020. Yatakuwa ni makala ya 12 ya mashindano haya ambayo yanatarajiwa kumalizika tarehe 1 mwezi Machi. Mamia ya wakimbiza baikeli yataanzia jijini … Read More

  • Kamati ya Kimataifa ya Michezo ya Olimpiki, imesema michezo hiyo itaendelea kama ilivyopangwa mwezi Julai, jijini Tokyo nchini Japan, licha ya tishio la virusi vya Corona. Wanamichezo 11,000 kutoka mataifa 200, wanatarajiwa kushiriki katika michezo … Read More

  • Ibrahim Kamara amejiuzulu kuwa kocha wa timu ya taifa ya soka ya Ivory Coast, Shirikisho la soka nchini humo limethibitisha hatua hii na kusema kuwa, imetokea kwa makubaliano kati ya pande zote mbili. Kocha Kamara … Read More

  • Kiungo mkabaji wa Chelsea N’Golo Kante atakuwa nje ya uwanja kwa wiki tatu akiuguza majeraha aliyoyapata katika mchezo dhidi ya Manchester United ulioisha kwa United kuibuka kidedea kwa goli 2-0 amesema Frank Lampard. Mshindi huyo … Read More

  • Winga wa Manchester City Raheem Sterling amesema Real Madrid ni klabu bora lakini amesisitiza kuwa anafuraha kubwa kuendelea kusalia Manchester City. Sterling, 25, amekuwa alihusishwa kujiunga na Real Madrid tangu City ilipokumbwa na kifungo cha … Read More

  • Barcelona imekamilisha dili la kumsajili mshambuliaji mpya katika dirisha dogo la dharura kutoka Leganes, Martin Braithwaite kwa dau la pauni milioni 18. Usajili wa Barcelona umekuwa gumzo hivi karibuni kutokana na kusajili kipindi ambacho ligi … Read More

  • Klabu ya Azam imelazimishwa sare ya goli 1-1 dhidi ya Wanakuchele Ndanda FC katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa dimba la Nangwanda Sijaona Jumatano. Ndanda ndio waliokuwa wa kwanza kupata goli ngwe ya … Read More

error: Right click disabled!!