- Home
- La Liga Fixtures
Habari za hivi karibuni
Baada ya Simba kutinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika huku akiwa kinara, mechi zote za makundi zimekamilika kwa timu nane kupata tiketi hiyo. Wakati ikisubiriwa droo itakayofanyika Ijumaa Jijini Cairo Misri mwishoni mwa … Read More
Jana Jumamosi Aprili 10 vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga walivutwa shati na timu ya Kino Boys KMC kwa kutoa sare ya bao 1-1 mchezo uliopigwa dimba la Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. … Read More
Baada ya mabingwa wa kihistoria wa Ligi Kuu nchini Tanzania klabu ya Yanga kubanwa mbavu na kikosi cha KMC kwa sare ya goli 1-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya VPL, kocha wa Yanga asema … Read More
Real Madrid wamekwea mpaka nafasi ya kwanza kwenye msimamo wa La Liga baada ya kuvuna alama tatu muhimu dhidi ya Barcelona kwenye mechi ya El Clasico iliyopigwa dimba la Alfredo Di Stefano, ushindi wa 2-1 … Read More
Liverpool baada ya kuwa na matokeo mabaya katika dimba la Anfield kwa msimu huu, hatimaye wamepata ushindi wa kwanza, mara ya mwisho kufunga goli mchezo ukiendelea dimbani hapo ilikuwa mwezi Disemba. Ushindi wa goli 2-1 … Read More
Kikosi cha kocha Thomas Tuchel kimeibuka na ushindi wa bao 4-1 dhidi ya Crystal Palace mchezo wa Ligi Kuu nchini England huku Kai Havertz akiingia kambani. Bao la kwanza la Chelsea, limefungwa na Havertz ambaye … Read More
Zlatan Ibrahimovic ameweka rekodi ya kuwa mchezaji wa pili wa AC Milan kuonyeshwa kadi nyekundu nyingi akitolewa nje katika ushindi wa goli 3-1 walioupata dhidi ya Parma katika Serie A Leo Jumamosi. Ibrahimovic anakuwa mchezaji … Read More
Kocha wa Paris St-Germain Mauricio Pochettino ameendelea kukiongoza kikosi chake katika njia salama baada ya kushinda mechi ya Ligue 1 kwa goli 4-1 dhidi ya Strasbourg, siku chache baada ya kuifunga FC Bayern Munich. Mshambuliaji … Read More