- Home
- La Liga Latest Results
La Liga Latest Results
December 1, 2019 | ||
Atlético de Madrid | 0 - 1 | Barcelona |
Getafe | 4 - 0 | Levante |
Espanyol | 2 - 4 | Osasuna |
Athletic Bilbao | 2 - 0 | Granada |
Sevilla | 1 - 0 | Leganes |
November 30, 2019 | ||
Valencia | 2 - 1 | Villarreal |
Mallorca | 1 - 2 | Real Betis |
Real Sociedad | 4 - 1 | Eibar |
Deportivo Alavés | 1 - 2 | Real Madrid |
November 29, 2019 | ||
Celta Vigo | 0 - 0 | Real Valladolid |
November 24, 2019 | ||
Real Valladolid | 0 - 1 | Sevilla |
Villarreal | 1 - 3 | Celta Vigo |
Eibar | 0 - 2 | Deportivo Alavés |
Osasuna | 1 - 2 | Athletic Bilbao |
Espanyol | 1 - 1 | Getafe |
November 23, 2019 | ||
Real Madrid | 3 - 1 | Real Sociedad |
Granada | 1 - 1 | Atlético de Madrid |
Real Betis | 2 - 1 | Valencia |
Leganes | 1 - 2 | Barcelona |
November 22, 2019 | ||
Levante | 2 - 1 | Mallorca |
Habari za hivi karibuni
Rais wa FIFA Gianni Infantino amependekezwa kuwa mwanachama wa Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki – IOC, lakini kiongozi wa Mchezo wa Riadha Duniani Sebastian Coe atahitajika kusubiri kutokana na mgongano wa maslahi. Hayo ni kwa … Soma Zaidi
Rwanda leo imesaini mkataba na timu ya Ufaransa ya Paris St. Germain, PSG kwa lengo la kuutangaza utalii wa taifa hilo la Afrika Mashariki. Mkataba wa aina hiyo ni wa pili kusainiwa na Rwanda kwa … Soma Zaidi
Mahakama ya Migogoro katika Michezo imefuta uchaguzi wa rais na Kamati Kuu ya Kitaifa ya Shirikisho la Kandanda Kenya – FKF uliopangwa Jumamosi na kufuta matokeo ya uchaguzi wa matawi ya shirikisho hilo ulioandaliwa mwezi … Soma Zaidi
Kocha wa zamani wa Arsenal Arsene Wenger anataka Ligi ya Premier isitishe upinzani wake kwa matumizi ya televisheni za VAR zinazowekwa pembeni ya uwanja. Mkuu wa Marefarii wa Premier League Mike Riley ametahadharisha dhidi ya … Soma Zaidi
Mshambuliaji wa Barcelona Lionel Messi ameshinda tuzo ya Ballon d’Or za mchezaji bora duniani kwa mara ya sita. Ni Ballon dOr ya kwanza kwa Muargentina huyo mwenye umri wa miaka 32 tangu mwaka wa 2015 … Soma Zaidi
Washindi wa Kombe la Dunia Ufaransa, mabingwa wa sasa wa Ulaya Ureno na Ujerumani wamepangwa katika Kundi moja gumu la F katika michuano ya Euro 2020. Ujerumani ya Joachim Loew iliorodheshwa ya kwanza kagika droo … Soma Zaidi