Ligue 1 Fixtures
Tanzania Prisons imetoshana nguvu na Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara mchezo uliopigwa dimba la Kumbukumbu ya Sokoine Jijini Mbeya Leo Alhamis. Prisons ambao bado hawajakaa eneo nzuri kwenye msimamo … Read More
Kikosi cha Azam FC kimeanza safari kuelekea Arusha kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo wa Kombe la Shirikisho Tanzania maarufu kama Azam Sports Federation Cup ambapo watacheza na Coastal Union Mei 29, dimba … Read More
Yanga imewasimamisha wachezaji wake wawili kwa muda usiojulikana kutokana na kutoroka kambini (utovu wa nidhamu) wakati timu hiyo ikijiandaa na mechi ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la TFF. Yanga ambayo ni mabingwa mara … Read More
Jose Mourinho ameendelea kusimika mnara wake katika viwango vya juu kufuatia kukiongoza kikosi cha AS Roma kushinda ubingwa wa kwanza baada ya miaka 14 kwa kuifunga bao 1-0 Feyenoord mchezo wa fainali ya Europa Conference … Read More
Mshambuliaji wa kimataifa wa Sweden na AC Milan Zlatan Ibrahimovic atakuwa nje ya uwanja kwa takribani miezi nane akifanyiwa upasuaji wa goti. Ibrahimovic mwenye umri wa miaka 40, ameisaidia Milan kushinda taji la Serie A … Read More
Winga wa kimataifa wa Misri Mohamed Salah amesema ataendelea kucheza katika kikosi cha Liverpool kwa msimu ujao licha ya kuwepo kwa taarifa kuwa huenda akatimukia kwingineko kufuatia mkataba wake kutokuwa na uhakika. Mkataba wa Salah … Read More
Shirikisho la Kandanda nchini Tanzania limemtangaza refarii Ahmed Arajiga kuwa mwamuzi wa dakika za kibabe za dabi ya Kariokoo baina ya Yanga na Simba mchezo wa nusu fainali ya Kombe la ASFC ambao utachezwa dimba … Read More
Ruvu Shooting wamevuna alama moja dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara mtanange uliopigwa dimba la Mabatini, Mlandizi mkoani Pwani kwa kulazimisha sare ya goli 1-1. Elias Maguri alianza … Read More