Mashabiki wa Man Utd wamfokea Jose na wachezaji

Tazama namna baadhi ya mashabiki uwanjani Old Trafford walivyomfokea Jose Mourinho na wachezaji wake wakati wa mechi ya Champions League ambayo Man Utd ilitoka sare ya bila kufungana na Valencia

Author: Bruce Amani

Share With Your Friends