Orodha za mwisho za tuzo za Shirikisho la Kandanda Afrika – CAF 2018 zimetangazwa.
Mchezaji Bora wa Mwaka Mwanamme
Alex Iwobi (Nigeria, Arsenal/ENG), Andre Onana (Cameroon, Ajax/NED), Anis Badri (Tunisia, Esperance), Denis Onyango (Uganda, Mamelodi Sundowns/RSA), Mehdi Benatia (Morocco, Juventus/ITA), Mohamed Salah (Egypt, Liverpool/ENG), Pierre-Emerick Aubameyang (Gabon,Arsenal/ENG), Riyad Mahrez (Algeria, Manchester City/ENG), Sadio Mane (Senegal, Liverpool/ENG), Walid Soliman (Egypt, Al Ahly)
Mchezaji Bora wa Mwaka Mwanamke
Abdulai Mukarama (Ghana), Asisat Oshoala (Nigeria), Bassira Toure (Mali), Chrestinah Kgatlana (South Africa), Elizabeth Addo (Ghana), Francisca Ordega (Nigeria), Gabrielle Onguene (Cameroon), Janine van Wyk (South Africa), Onome Ebi (Nigeria), Raissa Feudjio (Cameroon), Tabitha Chawinga (Malawi)
Mchezaji Bora Chipukizi wa mwaka
Achraf Hakimi (Morocco), Franck Kessie (Ivory Coast), Wilfred Ndidi (Nigeria)
Kocha Bora wa Mwaka Mwanamme
Aliou Cisse (Senegal), Herve Renard (Morocco), Moine Chaabani (Esperance/TUN)
Kocha Bora wa Mwaka Mwanamke
Desiree Ellis (South Africa), Joseph Ndoko (Cameroon), Thomas Dennerby (Nigeria)
Timu Bora ya Taifa ya Mwaka Wanaume
Madagascar, Mauritania, Uganda
Timu Bora ya Taifa ya Mwaka Wanawake
Cameroon, Nigeria, South Africa
