- Home
- Serie A Results
Serie A Latest Results
February 22, 2021 | ||
Juventus | 3 - 0 | Crotone |
February 21, 2021 | ||
Benevento | 0 - 0 | Roma |
Atalanta | 4 - 2 | SSC Napoli |
Milan | 0 - 3 | Inter Milan |
Parma | 2 - 2 | Udinese |
February 20, 2021 | ||
Sassuolo | 1 - 1 | Bologna |
Genoa | 2 - 2 | Hellas Verona |
Lazio | 1 - 0 | Sampdoria |
February 19, 2021 | ||
Cagliari | 0 - 1 | Torino |
Fiorentina | 3 - 0 | Spezia |
February 15, 2021 | ||
Hellas Verona | 2 - 1 | Parma |
February 14, 2021 | ||
Inter Milan | 3 - 1 | Lazio |
Crotone | 1 - 2 | Sassuolo |
Cagliari | 0 - 1 | Atalanta |
Sampdoria | 2 - 1 | Fiorentina |
Roma | 3 - 0 | Udinese |
February 13, 2021 | ||
Spezia | 2 - 0 | Milan |
SSC Napoli | 1 - 0 | Juventus |
Torino | 0 - 0 | Genoa |
February 12, 2021 | ||
Bologna | 1 - 1 | Benevento |
Habari za hivi karibuni
Manchester United wanahitajika kutoa pauni milioni 68 ili kupata saini ya beki wa kati wa Sevilla na Ufaransa mwenye umri wa miaka 22 Jules Kounde. Manchester City wanatafakari uwezekano wa kumsajili mshambuliaji wa Borussia Dortmund … Soma Zaidi
Mshambuliaji wa kimataifa wa Argentina na Barcelona Lionel Messi ameingia kambani mara mbili na kuisaidia klabu yake kuibuka na ushindi wa goli 3-0 dhidi ya Elche mchezo wa Ligi Kuu nchini Hispania uliopigwa Jana Jumatano. … Soma Zaidi
Klabu ya Tottenham Hotspur imeibuka kidedea dhidi ya timu kutokea Austria ya Wolfsberger kwa ushindi wa goli 4-0 mtanange uliopigwa Jana Jumatano. Katika mchezo huo, kiungo mshambuliaji wa Spurs Dele Alli ambaye amekuwa hana nafasi … Soma Zaidi
Manchester City ilipata ushindi mwepesi wa mabo 2 – 0 dhidi ya Borussia Moenchengladbach katika mechi ya mkondo wa kwanza wa hatua ya kufuzu robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Mabao ya City yalifungwa … Soma Zaidi
Kocha wa Celtic Neil Lennon amebwaga manyanga ya kuwa kocha wa kikosi hicho baada ya kujikuta nyuma kwa alama 18 dhidi ya vinara Rangers inayonolewa na kocha Steven Gerrard. Lennon alichukua mikoba ya kuwa kocha … Soma Zaidi
Siku za kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa Argentina na klabu ya Juventus Paulo Dybala katika klabu hiyo zinahesabika baada ya kukosa nafasi ya kutosha kwa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27. Klabu tatu zinazoshiriki … Soma Zaidi