- Home
- Serie A Standings
Serie A Standings | Amani Sports News
Top Scorers
Habari za hivi karibuni
Timu ya Taifa ya Uganda – The Cranes imepoteza mchezo wa kwanza hatua ya makundi ya Kombe la Mataifa Bingwa Afrika CHAN dhidi ya Togo kwa goli 2-1 mchezo uliokuwa mgumu na mzuri ukiwa na … Soma Zaidi
Kiungo mshambuliaji wa Manchester City Kevin de Bruyne atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa mpaka wiki sita kutokana na majeruhi ya nyama za paja. Taarifa hiyo imetolewa na kocha mkuu wa Manchester City Pep … Soma Zaidi
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu nchini Tanzania klabu ya Simba imesema kabla ya Jumatano ambapo mashindano ya Simba Super Cup yatakuwa yanaanza watakuwa wamemtambulisha kocha wao mpya ingawa kuanzia kesho jopo saidizi litaanza kutangazwa kesho. … Soma Zaidi
Nyota wa klabu ya Yanga Mrundi Fiston Aboul Razak atatua rasmi nchini Tanzania kesho Jumamosi kwa ajili ya kujiandaa na mechi za mzunguko wa pili wa Ligi Kuu nchini Tanzania VPL baada ya kusajiliwa katika … Soma Zaidi
Leicester City wamefuta uwezekano wa kumsajili kwa mkopo kiungo mshambuliaji wa Inter Milan na Denmark Christian Eriksen, 28, kutokana na gharama za mchezaji huyo. Bayern Munich wamethibitisha kuwa kwenye uhitaji wa mlinzi wa kati wa RB Leipzig … Soma Zaidi
Vinara wa Ligi Kuu nchini Hispania Atletico Madrid wameendelea na mwendo bora katika kuwania taji la La Liga baada ya Jana Alhamis kufanikiwa kuondoka na ushindi wa goli 2-1 dhidi ya Eibar. Mshambuliaji wa zamani … Soma Zaidi