Al Ahly kukwaruzana na Esperance fainali ya Champions League
Miamba wa Misri Al Ahly watalenga kuiendeleza rekodi yao kwa kutwaa taji la tisa la Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuweka miadi ya kucheza fainali na Esperance ya Tunisia. Ahly iliilaza Entente Setif ya Algeria kwa jumla ya mabao 3-2…