Browsing Tag

Migne

Migne aridhishwa na sare dhidi ya Ethiopia

Kocha wa Timu ya taifa ya soka ya Kenya Harambee Stars, Sebastian Migne amesema ameridhishwa na pointi moja waliyopata katika mchezo wao wa mkondo wa kwanza dhidi ya Ethiopia siku ya Jumatano jijini Addis Ababa. Stars walitoka sare ya bila…

Kocha wa Harambee Stars atishia kujiuzulu

Kocha wa timu ya taifa ya Kenya Sebastian Migne amelipa shirikisho la kandanda la Kenya - FKF muda wa mwisho kuhakikisha kuwa linamlipa mshahara wake wa miezi mitatu. Mkuu wa FKF Nick Mwendwa amesema kocha huyo Mfaransa amewapa kipindi…