Tetesi za Mastaa Ulaya: Chelsea yamvutia kasi Lewandowski, Liverpool kupitisha panga kwa wachezaji

Chelsea imefanya mazungumzo na Wakala wa mshambuliaji wa kimataifa wa Poland na Bayern Munich Robert Lewandowski, 32, kuhusu kuangalia uwezekano wa kumsajili baada ya dili la Haaland kushindikana.

Arsenal wanaandaa pauni milioni 30 kwa ajili ya mlinda mlango wa Sheffield United Aaron Ramsdale, 23
Chelsea wako tayari kumuachia strika wao Tammy Abraham kujiunga na Arsenal licha ya klabu hiyo Tottenham Hotspur na West Ham United kuwania saini yake
Liverpool wako tayari kuwauza wachezaji takribani tano kupata pesa za kufanyia usajili beki wa kati Nat Phillips, 24, winga Harry Wilson, 24, mshambuliaji Divock Origi, 26, beki wa kushoto Neco Williams, 20, na winga wa  Switzerland Xherdan Shaqiri, 29, ni nyota ambao kuwekwa sokoni wanahitaji pauni milioni 60 hadi 70.

Author: Bruce Amani

Sharing is caring!

0Shares