Tetesi za Mastaa Ulaya: Man United waiwai Chelsea kwa Declan Rice wa West Ham

Manchester United wataangalia uwezekano wa kumtoa kiungo mshambuliaji wao Jesse Lingard 28, ili wampate kiungo mkabaji wa England a West Ham United Declan Rice 22.

Leeds United wameungana na klabu nyingine zinazowania saini ya mshambuliaji wa kimataifa wa Argentina Sergio Kun Aguero 32, ambaye amemaliza kandarasi yake mwishoni mwa msimu huu.

Sintofahamu yanaendelea kwa mshambuliaji Kylian Mbappe, 22, juu ya kuongeza mkataba mpya klabuni Paris St-Germain baada ya kukataa dili hilo mpya, Neymar Jr amefanya mazungumzo ya awali ya klabu kwa ajili ya kuongeza mkataba.

Author: Bruce Amani

Sharing is caring!

0Shares