Tottenham yaichapa 1-0 Watford

Tottenham Hotspur imeibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Watford katika mchezo wa Ligi Kuu England uliopigwa Leo Jumapili, huku goli la winga wa Kikorea Son Heung-Min likitoa alama tatu katika mechi yake ya 200 ndani ya uzi wa Spurs.

Matokeo hayo yameifanya Spurs kushika usukani wa EPL huku wakienda kwenye mapumziko ya mwezi Septemba wakiwa pazuri, wakati Watford wakishika nafasi ya 12.

Kocha Nuno Espirito Santo anakuwa mchezaji wa pili wa Tottenham Hotspur kushinda mechi tatu, kocha wa kwanza kufanya hivyo alikuwa Arthur Rowe mwaka 1949.

Author: Bruce Amani

Sharing is caring!

0Shares