Browsing

Gallery

Ruben Dias ajifunga Man City mpaka 2027

Beki wa kati wa Ureno Ruben Dias ameongeza mkataba mpya wa kuendelea kukitumikia kikosi cha Manchester City ambapo sasa mkataba wake utamalizika mwishoni mwa msimu wa 2027. Beki huyo tangia kujiunga na Man City amekuwa na wastani mzuri…

Jorginho amfunika Kante, de Bruyne tuzo Uefa

Kiungo mkabaji wa Chelsea na Italia Jorginho ametajwa kama mchezaji bora wa mashindano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa msimu wa 2020/21. Jorginho, 29, ametwaa tuzo hiyo akimshinda kiungo mwenza wa Chelsea na Ufaransa N'golo Kante pamoja na…

Harry Kane sasa kubakia Tottenham

Nahodha wa kikosi cha Ligi Kuu England Harry Kane sasa atasalia ndani ya Tottenham Hotspur kufuatia klabu ya Man City kukata tamaa sawa na Daniel Levy kushikilia msimamo wake. Manchester City walikuwa wanahitaji saini ya mshambuliaji…

Benzema kusalia Real Madrid mpaka 2023

Nahodha wa Real Madrid Karim Benzema amekubali kumwaga wino wa kuendelea kukitumikia kikosi cha Los Blancos mpaka mwaka 2023. Mkataba wa Benzema wa awali ulikuwa unaelekea mwishoni, kuongeza mkataba mpya wa mwaka mmoja utamfanya…

Mwalimu Kashasha afariki dunia

Shirika la Utangazaji Tanzania TBC limethibitisha kifo cha aliyekuwa Mchambuzi nguli wa kandanda nchini Mwalimu Alex Kashasha ambaye umauti umemfika akiwa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Kairuki Jijini Dar es Salaam Kwa mjibu wa…