West Bromwich Albion yamfuta kazi kocha Bilic na kumteuwa Sam Allardyce kuchukua mikoba
Klabu ya West Brom imemfuta kazi rasmi aliyekuwa kocha wao Slaven Bilic na kumtaja Sam Allardyce kuwa kocha mpya ndani ya miezi 18 ya mwanzo.
Allardyce, 66, alikuwa hana timu tangia msimu wa 2018 akiwa na Everton. Kocha huyo raia wa England ameviongoza vikosi saba vya EPL ambapo ana jiunga na Baggies ambao wanakamata nafasi ya 19 kwenye msimamo wa sasa. “Tunaamimi na tunaamimi Sam atatufikisha sehemu ambayo kila mmoja wetu atafurahia.