Kenya na Tanzania kumenyana fainali Cecafa wanawake

Timu za taifa za mchezo wa soka kwa upande wa wanawake za Kenya na Tanzania zitamenyana katika fainali ya kuwania taji la nchi za Afrika Mashariki na Kati, CECAFA .

Harambee Starlets iliishinda, Burundi mabao 5-0 katika mechi ya nusu, iliyochezwa leo mchana katika uwanja wa Chamazi jijini Dar es salaam nchini Tanzania.

Miongoni mwa wafungaji ni pampja na Jentrix Shikwanga na Mwanahalima Adam

Author: Bruce Amani