Mashemeji derby: Ujanja wa Ingwe waishia kwa Muguna, Kahata
Waliingia uwanjani na ujanja wa kuwanyuka watani wao wa jadi Gor Mahia kisha kutia mfukoni Kshs10,000 marupurupu ya kushinda derby ya Mashemeji lakini AFC Leopards ilikoseshwa ujanja na mabao ya Kenneth Muguna na Francis Kahata wakipoteza…