Browsing Tag

Azam

Azam, Simba zaiwachia kibarua Yanga

"HAKUNA KUREMBA" Unaweza kutumia msemo huo kwa sasa katika mbio za taji la ligi kuu ya Tanzania (TPL) Msimu wa 2018/2019 kwa Mafarasi watatu: Yanga, Simba na Azam ambao dhahiri shahiri wanaonyesha mmoja kati ya hao  anaweza akabeba taji…

Simba, Yanga, Azam mwendo mdundo

Ligi Kuu ya Tanzania imeendelea kushika kasi wikiendi hii baada ya mapunziko ya siku kadhaa kupisha michuano ya Kimataifa Vigogo wa ligi hiyo wameendelea kuvuna pointi wakiwa nyumbani na kujizatiti katika msimamo na kujenga matumaini kwa…

Azam yapanda hadi nafasi ya pili

Azam FC imesogea hadi nafasi ya pili katika msimamo wa ligi kuu baada ya kuchomoza na ushindi wa 1 - 0 dhidi ya maafande wa Tanzania Prisons mchezo uliopigwa usiku wa jana Jumanne tarehe 2 Oktoba 2018 katika uwanja wa Chamazi nje kidogo ya…