Mane, Salah wawania tuzo ya Ballon d’Or
Orodha ya wachezaji 30 wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa kandanda mwaka wa 2018 ya Ballon dOr imetolewa. Orodha hiyo imetawaliwa na washindi wa Ligi ya Mabingwa Ulaya Real Madrid, ambao wana wana wachezaji wanane walioteuliwa.…