Obi Mikel hajastaafu kandanda la kimataifa
Nahodha wa timu ya taifa ya Nigeria Super Eagles John Obi Mikel hajastaafu kandanda la kimataifa. Hayo ni kwa mujibu wa msemaji wa timu, licha ya nyota huyo wa zamani wa Chelsea kuwekwa pembeni kwa mechi ya tatu mfululizo.…