Browsing Tag

Terry

John Terry atundika daluga

Nahodha wa zamani wa Chelsea na timu ya taifa ya England John Terry ametangaza kuachana na soka. Terry mwenye miaka 37, aliondoka Aston Villa katika majira yaliyopita ya joto, baada ya kuichezea klabu hiyo kwa msimu mmoja. Kabla ya hapo,…