Browsing Tag

FKF

Kocha wa Harambee Stars atishia kujiuzulu

Kocha wa timu ya taifa ya Kenya Sebastian Migne amelipa shirikisho la kandanda la Kenya - FKF muda wa mwisho kuhakikisha kuwa linamlipa mshahara wake wa miezi mitatu. Mkuu wa FKF Nick Mwendwa amesema kocha huyo Mfaransa amewapa kipindi…