Vinara wa Ligi Kuu nchini Italia Serie A AC Milan wamekamilisha uhamisho wa mshambuliaji wa zamani wa Juventus na Croatia Mario Mandzukic kama mchezaji huru kwa mkataba wa nusu mwaka kukiwa na kipengele cha kuongeza mkataba mpya. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 34 amekuwa bila timu tangia aachane na Qatari club Al Duhail. Ni
