Browsing Category
Football
Kiungo wa Kenya Omolo aurefusha mkataba wake na Cercle Brugge ya Ubelgiji
Kiungo wa Harambee Stars, Johanna Omolo amesaini mkataba mpya wa mwaka mmoja na klabu ya Cercle Brugge ya Ubelgiji
Mchazaji huyo mwenye umri wa miaka 31 alijiunga na Cercle mnamo 2017 baada ya kuonesha mchezo mzuri akiwa Beerschot,…
Zidane awapiku Klopp, Guardiola katika orodha ya L’Equipe ya makocha bora wa vilabu duniani
Zinedine Zidane ndiye meneja bora wa klabu duniani lakini bingwa wa zamani, Jose Mourinho 'amepoteza uchawi wake'. Hiyo ni kwa mujibu wa gazeti linaloongoza la Ufaransa L'Equipe ambalo limeorodhesha makocha bora wa vilabu vya soka duniani.…
Borrusia Dortmund yaipa Manchester United siku 6 kukamilisha usajili wa Jadon Sancho
Klabu ya Borussia Dortmund imeipa klabu ya Manchester United siku 6 kukamilisha uhamisho wa staa wa Kiingereza Jadon Sncho, 20. Tayari klabu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu nchini Ujerumani imeshawaambia United kuwa inataka pauni milioni 100 ili…
Tetesi za Usajili Ulaya: Willian aitaka Arsenal, Inter Milan wakamilisha dili la Sanchez
Winga wa klabu ya Chelsea Willian, 31, amezipiga chini ofa mbili za miaka miwili ya kusalia klabuni hapo, ingawa ameendelea na mazungumzo na klabu ya Arsenal ambao wako tayari kumpatia miaka mitatu kwenye kandarasi hiyo.
Arsenal pia…
Chungu kinatokota: Maswali matano muhimu kuhusu uchunguzi wa Infantino
Madai ya Gianni Infantino kuwa siku za ufisadi katik FIFA zimezikwa katika kaburi la sahau yamepata pigo kufuatia uchunguzi wa jinai unaofanywa dhidi ya rais huyo wa shirikisho la kandanda ulimwenguni. Patashika Viwanjani leo inakufahamisha…
FIFA: Uchunguzi wa Uswisi dhidi ya Gianni Infantino ni “upuuzi” mtupu
Timu ya mawakili wa Gianni Infantino imelaani uchuguzi wa uhalifu unaofunguliwa na wapelelezi wa Uswisi. Uchunguzi huo unahusu mkutano kati ya rais huyo wa FIFA na Mwanasheria Mkuu wa Uswisi Michael Lauber.
Katika kikao cha video cha…
Tetesi za Usajili Ulaya: Mabingwa wa Kombe la FA kumpa Aubameyang Mkataba Mpya wiki hii, Man Utd…
Mshindi wa Kombe la FA Arsenal imekusudia kumvuta beki wa kati wa Sevilla Diego Carlos, 27, ambapo kocha Mikel Arteta amepanga kuboresha kikosi chake eneo la ulinzi.
Ripoti nyingine zinaeleza kuwa Arteta anafanya mazungumzo ya chini kwa…
Barcelona yasitisha juhudi za kuwaleta Camp Nou Neymar na Lautaro Martinez
Barcelona imeamua kusitisha uhamisho wa Neymar na Lauro Martinez ambao ulikuwa umepangwa. Hii ni kwa sababu ya matatizo ya kifedha ambayo yamechangiwa na virusi vya corona
Rais wa Barcelona, Josep Maria Bartomeu anasema kilabu…
Tetesi za Mastaa Ulaya: Bale bado anaamini katika Real Madrid, Raul Jimenez mbioni kutua Manchester…
Mshambuliaji wa Mexico Raul Jimenez, 29, yuko mbioni kujiunga na Manchester United baada ya makubaliano maalumu ambayo United na Wolves wameyafikia juu ya staa huyo.
Chelsea wameweka mezani ofa ya kumhitaji mlinda mlango wa Barcelona na…
Rais wa Fifa Infantino akabiliwa na uchunguzi wa kisheria
Waendesha mashitaka wa Uswisi wameanzisha uchunguzi wa kisheria dhidi ya rais wa Shirikisho la kandanda duniani FIFA Gianni Infantino. Ni kuhusiana na madai ya mkutano wa faragha ambao kiongozi huyo wa FIFA alifanya na mwanasheria mkuu wa…