Browsing Category
La Liga
Koeman kubakia Barcelona kwa masharti magumu, Messi bado haieleweki
Tangia kutangazwa kwa Joan Laporta kuwa Rais mpya wa klabu ya Barcelona inayoshiriki Ligi Kuu nchini Hispania La Liga, kulizuka taarifa kuwa kocha Ronald Koeman ulaji wake ndani ya Camp Nou ulianza kuwa mashakani.
Sasa mwishoni mwa msimu…
Baada ya Aguero kutua Camp Nou, avutwa kisiki wa Brazil Emerson
Baada ya kushindwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu nchini Hispania mara mbili mfululizo, klabu ya Barcelona imedhamiria msimu ujao ubingwa kutua viunga vya Camp Nou kwa kufanya usajili bab kubwa.
Ndani ya wiki moja, Barcelona imekamilisha…
Carlo Ancelotti ang’oka Everton na kujiunga rasmi Real Madrid kwa mara ya pili
Kocha Carlo Ancelotti ameachana na klabu ya Everton na kurejea Hispania kwa mara ya pili kukinoa kikosi cha Real Madrid.
Kocha huyo mwenye umri wa miaka 61 raia wa Italia aliekiongoza kikosi cha Madrid kwa miaka miwili mwaka 2013 na 2015,…
‘Barcelona ni timu bora duniani’ – asema Aguero
Baada ya kukamilisha uhamisho wa kujiunga na miamba ya soka la Hispania Barcelona, mshambuliaji wa kimataifa wa Argentina Sergio Kun Aguero amesema klabu hiyo ni timu bora duniani.
Aguero alikamilisha uhamisho wa miaka miwili kutua Camp…
Aguero aula mkataba wa miaka miwili Barcelona
Mshambuliaji wa Manchester City Sergio Kun Aguero amejiunga na atatambulishwa rasmi kuwa mchezaji wa FC Barcelona wiki hii baada ya mkataba wake na Man City kukamilika Jumatatu ya Leo Mei 31.
Mchezaji huyo raia wa Argentina mwenye umri wa…
Nilijiuzulu kwa sababu klabu haikuwa na imani nami tena – Zidane
Kocha wa zamani wa Real Madrid Zinedine Zidane amesema alijiuzulu kwa sababu alihisi klabu hiyo ya Uhispania haikumwamini tena. Zidane ameandika katika barua ya wazi iliyochapishwa leo na gazeti la michezo la AS. Zidane amesema hataacha…
Beki Alaba ajiunga rasmi na Real Madrid akitokea Bayern Munich
Beki wa kati wa Austria aliyekuwa anakipiga kunako klabu ya Bayern Munich ya nchini Ujerumani David Alaba amejiunga rasmi na mabingwa mara 13 wa Ligi ya Mabingwa Ulaya Real Madrid.
Mchezaji huyo wa mwenye umri wa miaka 28, amejiunga na…
Zidane ajiuzulu kwa mara ya pili kuifundisha Real Madrid
Kocha wa Real Madrid Zinedine Zidane amejiuzulu kwa mara nyingine kukifundisha kikosi hicho mara moja, siku tano baada ya Madrid kushindwa kuchukua ubingwa wa ligi ya La Liga na kuruhusu watani wao wa jiji Atletico Madrid kuondoka na kombe…
PSG kumtia kibindoni Lionel Messi, Barca hawajazungumza lolote
Barcelona hawajaanza mazungumzo ya mkataba mpya na nyota wa kimataifa wa Argentina Lionel Messi licha ya kandarasi yake kumalizika mwanzoni mwa mwezi Juni na tayari klabu ya Paris St-Germain imeonyesha nia ya kumsajili.
Kwa mjibu wa…
Atletico Madrid watwaa ubingwa wa La Liga kwa kuwachapa Valladolid, Real Madrid wabaki patupu
Atletico Madrid wamefanikiwa kubeba ubingwa wa Ligi Kuu nchini Hispania La Liga kwa kuifunga Real Valladolid 2 -1 huku wakiitupa Real Madrid ambao pia wameshinda bao 2-1 nyumbani.
Kikosi cha kocha Diego Simeone kilijikuta kikiwa nyuma ya…