Browsing Category

AFCON

KCCA yatinga fainali ya Kombe la CECAFA

Kinda wa Uganda Allan Okello amefanikiwa kuifikisha fainali klabu ya KCCA baada ya kufunga goli 2 katika ushindi wa goli 4-3 katika muda wa ziada baada ya sare ya 2-2 kwenye muda wa kawaida dhidi ya Green Eagles ya Zambia nusu fainali ya…

Ighalo aipa Nigeria shaba dhidi ya Tunisia

Goli pekee la mshambuliaji Odion Ighalo wa Nigeria limeipa ushindi Super Eagles na kushinda kasi ya kuwania nafasi ya tatu ya mashindano ya Kombe la Mataifa Afrika Afcon 2019 nchini Misri baada ya kuitungua Tunisia goli 1-0. Ighalo,…

Ivory Coast hoi mikononi mwa Algeria

Ivory Coast imeondoshwa rasmi kwenye Kombe la Mataifa ya Afrika Afcon 2019 baada ya kufungwa 4 - 3 na Algeria. Ni baada ya mchezo wao wa robo fainali uliofanyika leo Alhamis Julai 11 na kushuhudia dakika 120 zikimalizika kwa sare ya…