Browsing Category

AFCON

Taifa Stars yawakaanga Equatorial Guinea

Tunisia iliizaba Libya 4 - 1 na kuanza kampeni yake ya kutinga mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika - Afcon 2021 kwa ushindi mnono jana. Ushindi huo unawaweka Tunisia  kileleni mwa Kundi J mbele ya Tanzania kwa faida ya mabao…

Algeria ndio mabingwa wa Afrika 2019

Goli la dakika ya kwanza ya mchezo la Baghdad Bounedjah limeipa Algeria taji la pili Afrika baada ya lile la mwaka 1990. Goli hilo limeipa ushindi mbele ya Senegal kwa goli 1-0 katika mchezo uliochezwa dimba la Kimataifa Cairo Ijumaa usiku.…