Browsing Category

EPL

Ronaldo “HAUZWI” – Ten Hag

Kocha wa Manchester United Erik ten Hag amesema staa wa kimataifa wa Ureno Cristiano Ronaldo hauzwi kwani bado ana mpango wa kumtumia kwenye msimu ujao wa mashindano. Ronaldo mwenye umri wa miaka 37 amekuwa midomoni mwa vyombo vya habari…

Gomez Ajifunga Liverpool Mpaka 2027

Kiraka wa kimataifa wa England na Liverpool Joe Gomez amejifunga kuendelea kukitumikia kikosi hicho kwa kuingia mkataba mpya na majogoo muda mrefu wa miaka mitano. Gomez mwenye umri wa miaka 25 alijiunga na Liverpool mwaka 2015 akitokea…

Jesus Atambulishwa Arenal

Arsenal wamemsajili mshambuliaji wa kimataifa wa Brazil na Manchester City Gabriel Jesus kwa mkataba wa muda mrefu. Kitita cha pauni milioni 45 kimetumika kukamilisha uhamisho huo kwa kijana wa miaka 25 baada ya kuamua kutimka Etihad na…

Ronaldo Ataka Kuuzwa Man United

Staa wa Ureno Cristiano Ronaldo ameomba kuondoka Manchester United endapo klabu hiyo itapokea ofa nzuri kwenye kipindi hiki cha dirisha kubwa la usajili. Maombi ya Ronaldo yanajiri licha ya kocha wa sasa wa timu hiyo Erik ten Hag…

Salah Amwaga Wino Liverpool 2025

Mohamed Salah ameongeza kandarasi ya miaka mitatu ya kuendelea kukitumikia kikosi cha Liverpool. Mkataba wa Salah umekubalika baada ya mvutano wa muda kiasi ambapo sasa atakuwa analipwa pauni 350,000 kwa wiki na kuwa mchezaji wa kwanza…