Browsing Category

KPL

Wazito FC Kuikabili Posta Rangers FKFPL

Ligi Kuu nchini Kenya FKFPL inaendelea Leo Jumamosi ambapo Posta Rangers watakuwa nyumbani kuwakaribisha Wazito FC mchezo ambao utapigwa dimba la Thika. Timu hizo mbili zimekuwa kwenye matokeo yasiyoridhisha ambapo Posta Rangers…

Gor Mahia Yashinda 3-2 kwa City Stars

Gor Mahia imefanikiwa kutokea nyuma na kuibuka na ushindi wa bao 3-2 dhidi ya Nairobi City Stars katika mchezo wa Ligi Kuu nchini Kenya FKFPL mtanange uliopigwa dimba la Kasarani Leo Jumapili. City Stars walianza kupata uongozi wa mapema…

Tusker FC Wabanwa na Nzoia Sugar KPL

Ligi Kuu nchini Kenya imefikia patamu kwenye mbio za kuwania ubingwa ambapo Tusker FC wamevutwa shati na Nzoia Sugar kwa sare ya bao 2-2 mchezo uliopigwa Jumapili dimba la Ruaraka. Nzoia Sugar wameizuia Tusker kwenda karibu kabisa na…

Homeboyz Watoa Sare na Gor Mahia

Kakamega Homeboyz wamelazimisha sare ya bao 1-1 na Gor Mahia katika mchezo wa Ligi Kuu nchini Kenya mtanange uliopigwa Leo Jumamosi dimba la Kasarani Jijini Nairobi. Mabao kwenye mechi hiyo yamefungwa na Samuel Onyango ambaye alikuwa wa…

Gor Mahia Kuwavaa Homeboyz Dimba la Kasarani

Kifungo cha takribani miezi mitatu ya kutotumia uwanja wa nyumbani kwa klabu ya Gor Mahia kimemalizika na sasa timu hiyo imeruhusiwa kuendelea kutumia uwanja huo. Gor Mahia ambao ni mabingwa mara 19 wa Ligi Kuu nchini Kenya walizuiwa…

Kakamega Homeboyz Yaibutua KCB 2-1

Vinara wa Ligi Kuu nchini Kenya FKFPL Kakamega Homeboyz wamerudi kwenye njia za ushindi baada ya kufunga bao 2-1 dhidi ya timu inayopambania nafasi ya kusalia kwenye Ligi KCB, mchezo uliochezwa Leo Jumapili katika uwanja wa Bukhungu mjini…