Browsing Category

TPL

Yanga yapanga ujenzi wa uwanja Kigamboni

Senzo Masingiza Mbatha, Kaimu Mtendaji Mkuu wa Timu ya Wananchi Yanga ameweka wazi kuwa mradi wao wa ujenzi wa Uwanja ambao unafahamika kwa jina la Kigamboni Complex ‘Home of Champions’ tayari umeshawapata wakandarasi ambao wataanza kazi…

Bye Bye Azam, Sure Boy

Azam FC imemuaga kiungo wake Salum Abubakary ‘Sure Boy’, baada ya kuthibitisha kusitisha mkataba wake Jana Jumanne Disemba 21, 2021. Azam Fc imemuaga kiungo huyo anayetajwa kujiunga na Young Africans katika kipindi hiki cha Dirisha Dogo…

Yanga yaifumua Tanzania Prisons 2-1

Vinara wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara klabu ya Yanga imeibuka na ushindi wa goli 2-1 dhidi ya wenyeji Tanzania Prisons kwenye mtanange uliopigwa dimba la Nelson Mandela mjini Sumbawanga mkoani Rukwa. Ushindi huo wameupata Leo Jumapili…

Yanga, Prisons zatambiana

Kikosi cha Yanga kinashuka dimbani Leo Jumapili Disemba 19, 2021 kumenyana na wenyeji Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara mtanange utakaopigwa uwanja wa Nelson Mandela Sumbawanga mkoani Rukwa. Yanga ambayo…

Azam yabanwa na Mbeya City

Azam FC imeshindwa kutumia faida ya kuwa nyumbani mbele ya mashabiki wake na kuibuka na ushindi katika mechi dhidi ya Mbeya City ya Ligi Kuu Tanzania Bara. Katika mchezo huo uliopigwa dimba la Azam Complex Jijini Dar es Salaam Leo…