Browsing Category

TPL

Morrison ashinda tuzo Simba

Kiungo mshambuliaji, Bernard Morrison amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mashabiki wa mwezi Novemba (Emirate Aluminium ACP Simba Fans Player of the Month). Morrison raia wa Ghana amewashinda mshambuliaji Medie Kagere na kiungo Jonas…

Simba yaichapa Geita Gold Ligi Kuu

Simba SC imeibuka kidedea mbele ya Geita Gold kwa kuvuna alama tatu na goli 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara mtanange uliopigwa dimba la Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam Disemba Mosi. Mabao ya Simba Sc ambayo ilikuwa…

Yanga yaichapa Mbeya Kwanza NBC Ligi

Yanga imeibuka na ushindi wa goli 2-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara dhidi ya Mbeya Kwanza katika mtanange uliopigwa dimba la Kumbukumbu ya Sokoine Jijini Mbeya Leo Jumanne Novemba 30. Yanga ambayo mchezo uliopita…

Simba yaiva kuwavaa Red Arrows ya Zambia

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara klabu ya Simba imesema inaendelea vyema na maandalizi ya mchezo wa Kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya Red Arrows ya Zambia mchezo utakaopigwa dimba la Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam…

TFF yaramba dili nono kutoka GSM

Shirikisho la Kandanda Tanzania TFF limeingia kwenye mkataba wa miaka miwili na Kampuni ya GSM Group, mkataba wenye thamani ya bilioni 2.1 kwa ajili ya kuidhamini Ligi Kuu Tanzania Bara. GSM Group ameingia kwenye huo mkataba kama…

Morrison ashinda kesi CAS

Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo ‘CAS’ imetangaza hukumu ya Kesi iliyofunguliwa na klabu ya Young Africans mwaka mmoja uliopita dhidi ya Kiungo mshambuliaji kutoka nchini Ghana Bernard Morrison. Majibu ya hukumu ya Kesi hiyo iliyochukua…