Browsing Category

TPL

Sogne kuikosa Simba katika Debi ya Kariakoo

Mshambuliaji Yacouba Sogne atakuwa mchezaji pekee kwa upande wa Yanga atakayekosa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara wa Watani wa Jadi dhidi ya Simba utakaopigwa dimba la Mkapa Jijini DSM Disemba 11, 2021. Yanga ambayo inatakua mgeni wa…

Simba Full Mkoko Kuivaa Yanga

Kaimu Afisa Habari wa klabu ya Simba Ally Sharty "Babu Chiko" amesema hakuna mchezaji ambaye ni majeruhi kuelekea mtanange wa Watani wa Jadi Yanga mechi itakayopigwa dimba la Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam Disemba 11. Simba ambayo…

Mtibwa Sugar yaichapa Kagera Sugar

Kwa mara ya kwanza baada ya mechi nane kikosi cha Mtibwa Sugar kimepata ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Kagera Sugar mchezo ambao ulikuwa ni Dabi ya Sukari uliopigwa dimba la Jamhuri Morogoro. Mtibwa Sugar ikicheza nyumbani mkoani Morogoro…

Simba watua Dar kutoka Zambia

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu nchini Tanzania, klabu ya Simba SC wamerejea Jijini Dar es Salaam kwa maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara dhidi ya Watani wao wa Jadi, Yanga Jumamosi Uwanja wa Benjamin Mkapa…

Viingilio, Waamuzi Simba, Yanga bayana

Wakati presha ya mchezo ikiendelea kupanda kwa Watani wa Jadi baina ya wenyeji Simba na Yanga utakaopigwa dimba la Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam Disemba 11, Shirikisho la Kandanda nchini Tanzania TFF limetoa majina ya Waamuzi ambao…

Mbeya City yaichapa Dodoma Jiji 2-0

Timu ya kizazi kipya, Mbeya City imeibuka na ushindi mnono wa goli 2-0 dhidi ya Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara mtanange uliopigwa dimba la Kumbukumbu ya Sokoine Jijini Mbeya Leo Jumatatu Disemba 6. Mbeya…

FCC yaingilia kati mkataba wa GSM, TFF

Tume ya Ushindani wa Biashara (FCC) imesema imepokea malalamiko kutoka kwa wadau wa mpira wakiisihi kuchunguza udhamini uliofanywa na kampuni ya GSM kwa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara kama hautaathiri ushindani wa soka nchini. Wadau hao…