Wakati klabu ya Simba ikiwa imebakiwa na michezo miwili ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika na kuhitaji alama moja pekee kufuzu kuingia hatua ya robo fainali ya Kombe hilo, Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Simba Salim Abdallah “Try Again” amejigamba kuwa wanataka makubwa zaidi kwenye mechi hizo mbili na sio alama moja
